Friday 27 March 2015

Agness Masogange atwajwa kua mwanamke mzuri zaidi TANZANIA

Huyu ni mwanamke mzuri Tanzania kutokana na jarida moja la Nigeria. Anaitwa Agness Masogange. Kwa sasa anakula bata huko bondeni kwa Madiba..... wewe una maoni gani? je ni kwel ndo mwanamke mzuri Tanzania?


0 comments:

Post a Comment