Friday 27 March 2015

Rooney : sitashangilia tena kwa mtindo wa boxing

Wayne Rooney amesema kwamba hatoshangilia tena kwa mtindo wa 'boxing' kwa sababu mkewe alimuona mwanae wa kwanza Kai akiiga ushangiliaji wa baba yake darasani akiigiza kupigana na wenzie.

0 comments:

Post a Comment