This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Thursday, 23 July 2015

TARIBO WEST AKIRI ALIKUA ANATUMIA UCHAWI KUCHEZA SOKA

Mlinzi wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria maarufu kama Supper Eagles, hivi karibuni alitoa ushuhuda wa ajabu na kuwashtua watu wengi. Taribo West ambaye alikuwa ni kivutio sana uwanjani enzi za ujana wake akiwa na Supper Eagles sasa ameokoka na kuwa mchungaji. Taribo alishuhudia kwamba alikuwa akipelekwa na meneja wake nchini Senegal kwa waganga wa kienyeji ili aupige mwingi uwanjani. Taribo West anasema alikatwa baadhi ya sehemu za ulimi,...

Tuesday, 14 July 2015

MZEE YUSUPH AMESEMA INABID AACHE MZIKI KABISA

Lazima niache muziki- Mzee Yusup Mwimbaji mahiri wa muziki wa Taarab nchini ambaye pia ni mkurugenzi wa kundi la Jahazi Modern Taarabu, Mzee Yusuph amefunguka na kusema kuwa lazima aache muziki na kufanya kazi zingine nje ya muziki Mzee Yusuph alisema hayo alipohojiwa na mtangazaji wa Tam Tam za Mwambao ya East Africa Radio, Mwanne Othman. Mzee Yusuph alisema kuwa kwa sasa anataraji kutoa album mbili za mwisho ili aweze kuachana...

DILI LA STERLING KWENDA MANCHESTER CITY LIMETICK

Sakata hili lililoteka hisia za mashabiki duniani kote ikiwa ni pamoja na vyombo vya habari, limefikia tamati wakati ambao timu zinajiandaa na msimu mpya. Juzi Raheem Sterling alitajwa kwenye kikosi kitakacho safiri na kikosi cha Liverpool kuelekea kwenye mechi za pre-season, jana zikatoka habari kwamba hatasafiri na kikosi hicho. Leo hii hatimaye klabu za Liverpool na Manchester City zimefikia makubaliano katika sakata la usajili wa kiungo...

HAYA SASA KWA WALE WA CHELSEA , MOURINHO ANATAKA SAINI YA HUYU NYOTA WA BARCELONA

Mwanzoni kabisa wa kipindi cha usajili Jose Mourinho alisema kwamba kwenye kipindi hiki cha usajili hatafanya sana usajili kwasababu anakikosi kizuri. Lakini pia alisema atafanya usajili mdogo tu kuziba sehemu ambazo anadhani zinahitaji usajili. Kocha Jose Mourinho wa Chelsea amepanga kuwania saini ya mshambuliaji Mhispania, Pedro Rodriguez anayekipiga Fc Barcelona kwa ada ya pauni milioni 22. Pedro ambaye hafurahii maisha hivi sasa kutokana...

wazazi wa Iker Cassilas wamchana Florentino Perez ....

Wazazi wa Iker Casillas wamesema kuwa, kuondoka kwa mtoto wao katika klabu yake pendwa ya Real Madrid ni kutokana na kampeni chafu inayoendelea kutoka kwa rais wa klabu hiyo Florentino na kusisitiza kuwa, mtoto wao alipaswa kumalizia maisha yake ya soka katika klabu yenye hadhi ya juu na si kama klabu aina na Porto. “Mbona wakati wa marais Lorenzo Sanz na Ramon Calderon, alikuwa akilelewa vema,” waliiambia El Mundo. “Lakini Florentino Perez...

50 cent hatarini kufilisika

Moja ya wasani maarufu duniani na nyota wa miondoko ya hiphop, rapa 50 Cent , aomba sheria ya kufilisika yenye kifungu cha 11 imlinde na mali zake huko marekani. Hoja hiyo ilikuja siku chache baada ya mahakama kuamuru rapa huyo alipe dola za kimarekani milioni tano kwa mwanamke aliemshitaki kwakile alichokisema kuwa aliweka video chafu mitandanoni bila ya ridha yake. Mwanamziki huyo mwenye jina halisi la Curtis James Jackson wa tatu ameuza...

Team ya manchester united ikiwa taari kwa safari kuelekea marekani kwa maandalizi ya msimu ujao.......